Tulonge

Views: 137

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on August 4, 2011 at 15:18
enzi zetu kaka Don iliitwa SUBIRI ULIWE!!! hapata tosha hapa kila mtu akija na jinsi anavyo ikokotoa SU.. hahahaaa
Comment by Don M on August 4, 2011 at 15:04
enzi zetu iliitwa SINA UCHUNGU
Comment by Dixon Kaishozi on August 4, 2011 at 14:57

Duh.. Eddie sasa naona unataka kuingia studio moja kwa moja.. safi sana.. umekokotoa ( SU )

Comment by eddie on August 3, 2011 at 23:36

hii inaweza kuwa Sokota Ugoro=SU

Sina Ukoma, Sogelea Urojo, Sema Uongo, Sipendi Upweke, Sifagilii Udaku, .......

Comment by Dixon Kaishozi on August 3, 2011 at 22:23
hahahaaa.. yani mnazidi kuvumbua tu.. from "soma ule" to "sota ule" .. safi sana!
Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 11:37
ha haa haaa... sie twaita 'Sota Ule' au 'Sota Upumue'
Comment by KUNAMBI Jr on May 15, 2011 at 15:42
aaahh watu wa bkb kwa kujifagilia hamjambo duuh haya bana
Comment by Dixon Kaishozi on May 11, 2011 at 22:35
Ha ha ha ha haa.. Nimeipenda hiyo.. ni kama siye watu wa kule ( Bukoba) yani B.K inaitwa Better Kingdom
Comment by KUNAMBI Jr on May 11, 2011 at 7:26
umeona eeh Moreen
Comment by Moreen on May 10, 2011 at 23:48
Hahahahhaaa safi sana

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*