Tulonge

Hii inaweza sababisha vidume wengi wakataka kuwa mapolisi

Views: 385

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 12, 2013 at 10:55
Ha haaa haaaa... Hapa Dismas ulivyowekwa kati itabidi uwe mpole kama Askofu. Ha haaa haaaa
Comment by ANGELA JULIUS on October 12, 2013 at 8:49

Hapo sasa Omary umekuwa best yangu huyu mwehu kweli na mwanangu nampa Feisal mazimaaaaaaaaaaa bila kinyongo manake nilikuwa nampeleka arusha kwa mzee mwenzangu Manka sasa huko yeye atulie tuu chini ya mlima meru.

Halafu Dismas dogo umeonaaaa eeeeee mwanamke mwanamke ndo sisi wengine mafisi mkitufuata mnaambulia vumbi tuuuu.

Siku tukikutana hakuna cha keyboard wala nini ndo utajuta kwa nini ulinifahamu labda usitokee kwenye mdahalo na akipatikana mdhamini wa 5 million kwa mshindi tunaweka pambano kali la ukweli nataka unijue mimi ni nani natokea wapi na nimekulia mazingira yapi.

Comment by Tulonge on October 12, 2013 at 7:49

Duuh! nimeamini mwanamke ni sumu. Yani Omary umenigeuka ghafla hv.Sijui Mungu amewawekea sumaku gani mabinti/wanawake? Yani dume linaweza likawa kama zezeta wakati wowote juu ya mwanamke

Comment by Omary on October 12, 2013 at 4:06
Angela mzee mwenzangu mbona wanitowa thamani kwaajili ya mwehu Dis haya nakuomba radhi sirudii tena kumsapot Dis hata hivyo hakuwezi wewe matawi Dis kazoea wale wa jero jero pale uwanja wa fisi sasa wewe utamwambia gari haina mafuta ikijaa ni zaid ya laki Dis bahili lazima akimbie na asiangalie nyuma hahahah starehe ghalama
Comment by Tulonge on October 11, 2013 at 20:41

teh teh teh Mama Malaika unaomba siku 1 tukutane na huyo mrembo siyo. Mimi huwa naongea sana kwa kutumia keyboard, ila kwa mdomo siwezi kabisa teh teh teh. Labda siku tukikutana inabidi tutumie computer badala ya midomo, hapo ndo utacheka

Comment by Tulonge on October 11, 2013 at 20:39

Mimi si muongeaji sana,ila ni mtendaji. Huyo Angela atakuja simulia mwenyewe litakalo mtokea kabla mwezi huu haujaisha

Comment by Mama Malaika on October 11, 2013 at 17:17
Mie na hamu siku Dismas, Angela na Bonielly wakikutana hiyo siku nami niwepo. Naona mbavu zangu zitachanika.. Lol............
Comment by Mama Malaika on October 11, 2013 at 17:15
Ha haa haa haa haa haaa.... Dixon nawe waniua kwa kucheka.
Comment by Dixon Kaishozi on October 11, 2013 at 15:54

Hahahahahaaa... HAYA WEKENI MATUNDU YENU TUONE.. MWENYE ZIMA AWEKE NA MWENYE BOVU AWEKE TUONE... hahahahahaaa

Comment by ANGELA JULIUS on October 11, 2013 at 15:33

OMARY WEWE KWANZA UNDUGU NA WEWE KWISHNEY.

PILI HATA HAYO MAKAA YA MAWE SIJUI HATA KAMA UMEWAHI KUYAONA ZAIDI YA KUJUA KUTAMKA NA KUSIKIA KUNA KITU KAMA HICHO, HAPA MAWE NAYOONGELEA NI MAWE MAWE YALE YA KULE MJIMWEMA NA SIYO MAKAA YA MAWE.

HUYU DIS WALAHI ATABAKI KUCHEMSHA MAHARAGE KWENYE MAWE AKIDHANI KAWASHA MOTO MWENYEWE ANAKAZANA KUPEPEA KITU HAKIIVI KINAMWANGALIA BADAYE ANAKUJA TAHAMAKI LOL KUMBE ALIKUWA AKIFUKUZA UPEPO

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*