Add a Comment
LOL MZEE MWENZANGU UMEMUONA HUYU DIS YANI TIMING YAKE NI SAWA NA DEREVE WA BAJAJ KUTAKA KUOVERTAKE RANGE WAKATI IKIWA KWENYE SPEED ZAKE, HEBU PIGA PICHA INAKUWAJE HAPO.
Omary na wewe kumbe umemstukia Angel kuwa ni mlimbwende. Mimi kila siku huwa namlia timing, akizubaa tu anakwenda na maji.
nyinyi vidume hapo chini mliocoment embu niambieni huyu dad labda kawategua nini manake the way i see her ni wa kawaida tuu sijaona cha kushangaza. @ Dixson a.k.a Kibela huko arusha hamna? na wewe Omary mzee mwenzangu uliyeacha mbachao kwa msala upitao huko ukiozamia hamna neglos ha ha a.
Kiukweli kwa Alfan Mh sisemi ila angekuwa black navomjua swaga zake nisingebisha manake sipati picha Alfan na huyu mdada mtoto zeruzeru wa kiasia.
Najiuliza wewe ndiyo komandoo mwenyewe.. alafu umekwenda kumkamata eti huyu ndiyo gaidi.. teheheee..
hapa kama ndiyo Alfan.. sijui kama atamfikisha!!!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge