Tulonge

Views: 113

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on December 29, 2011 at 17:11

YALIKUWA MAJI MANGI SANA NAWAPA POLE WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO

Comment by ANGELA JULIUS on December 23, 2011 at 15:44

DU KWELI KABISA BONIELLY NIMESIKIA KWENYE TAARIFA LEO WATU TUMEBAKI KUSHANGAA ILA BINAFSI SIKUSHANGAA SANA KWANI NI KAWAIDA YAO KWELI BINADAMU SISI WEPESI WA KUSAHAU

Comment by Bonielly on December 23, 2011 at 14:45

aliotabiri angela nimeyaona leo watu wanafua nguo zao wengine wanasafisha nyumba zao wanasema waende wapi? sisi bindamu wepesi kusahau,

Comment by Dixon Kaishozi on December 23, 2011 at 10:16

Poleni sana waathirika.. LAKINI TUACHE UBISHI... TUAME MABONDENI.. wakati mwingine tunailaumu serikari bure pale inapoamua kutumia nguvu.. najua kama bomoa bomoa ingepita hapo ili kuwahamisha.. wananchi tungeichukia serikali na kuilaumu sana kwa kuwabomolea makazi wananchi wake..

Comment by Alfan Mlali on December 22, 2011 at 22:02

Haya ni matatizo ya kupenda vya bure..hapo najua kiwanja hawajanunua wamejigawia eneo la mto sasa mto umekuja wanahaha...! Bora mimi nisie na kiwanja kabisa!

Comment by ANGELA JULIUS on December 22, 2011 at 17:01

KWELI ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU ILA HAWAKOMI WATARUDI TENA HAPO UAMINI USIAMINI KWANI WAMEKUMBWA NA MAFURIKO MARA NGAPI NA HADI HELICOPTA KIPINDI FULANI ZILIWAOKOA LAKINI WALIRUDI TENA KUKAA MULE MULE

Comment by Alfan Mlali on December 22, 2011 at 12:54
Siku zote asiyesikia la mkuu huvunjika guu....Kila mwaka wanaambiwa wahame mabondeni wanaunyuti kimyaaa kama sio wao wanaoambiwa sasa Sir God kaamua kuwaonyesha madhara ya kujenga mabondeni!! Majuto ni mjukuu..........Poleni sana waathirika wa mafuriko!
Comment by manka on December 22, 2011 at 12:29

kweli hapa wamekufa wengi. EE Mungu tunusuru na maafa zaidi.

Comment by Bonielly on December 22, 2011 at 12:26

hii ni jangwani sikosei maana jana nilitokea mwenge nikaambiwa salender haipitiki, nikageuza gari nikaelekea magomeni ili nipitie jangwani njia imefungwa ilibidi nipitie barabara ya msimbazi kutokea karume nikafanikiwa mpaka posta nikapaki gari, nikasema ngoja niende jangwani nikaangalie kinachoendelea, niliogopa jamani tuhameni mabondeni, tuacheni ubishi, ni noma,

Comment by ANGELA JULIUS on December 22, 2011 at 12:00

MTUMEEEEE WAPI HII KAKA CHAOGA TAFADHALI NDUGU MUNGU WANGU KWELI WAMEKUFA WENGI

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*