Viongozi Africa waroho/walafi sana kiasi kwamba hawafikirii overhead expenses. Cost ya kusafisha radioactive substances inayosababishwa na uchimbaji uranium (production activities) ni kubwa sana kuzidi mapato toka kwa wawekezaji. Africa inaathirika na air, soil & water contamination from radioactive waste from uranium huku Ulaya wanafaidika na umeme bei nafuu (nuclear energy) 24hrs a day
Tags:
Add a Comment
Niliwahi kusikia kuwa jimbo la Alaska (kama sijakosea) wana mafuta ambayo Waamerica wanaweza kuyatumia kwa karne moja, ila jamaa hawayachimbi. Sisi vihelehele vimewajaa viongozi wetu. Akiitwa tu Europe na kurudi teyari kishaingia mikataba ya ajabu.
Mh. huyu ni kama yule wa nchi moja ya pale kati ya Afrika.
Hapo lijamaa linaitikia tu then na kicheko cha kinafiki kumbe linaumiza wenzake.
Wengi wanayafikiria matumbo yao
hahahaah..katoa mimacho lkn mwsho wa siku anaishia kusema yes sir...
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge