Tulonge

Hii ilitokea huko Kenya,cjui alifanya nini mwanamke wa watu.

Views: 220

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 9, 2012 at 13:10

walikuw awanacheza tuuuuuu,katika kukimbia kimbia mdada akala mweleka,si unaona bwana kaka anakwenda kumuokota,sasa alimpigaje na wakati yuko mbali nae.Hahahaha

Comment by eddie on September 25, 2011 at 10:52
Najua wanawake wamejaliwa kuongea...hiyo ndio weakness yao.....hakuna mtu perfect.
Comment by eddie on September 25, 2011 at 10:50
@Silas njia ya kumfunga mwanamke mdomo si kipigo mkuu. Ukitaka kumfunga mdomo mwanamke wewe mle udenda tu hatapata nafasi kufungua mdomo!
Comment by eddie on September 25, 2011 at 10:45

Mwanaume yoyote anayempiga mwanamke ni midume dhaifu kiakili. Hana akili ya kupima utu kujua kwamba mwanamke ni mama  ambapo maisha ya mtu yanapoanza. Sasa ukimfanyia ukatili unategemea kizazi kitakachotoka hapo ni kamili kiafya kweli? 

Wanyama wana huruma kutuzidi sisi binadamu. Itabidi tujifunze kutoka kwao ingawa binadamu husemekana ni high profile animal!

 

Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:51
Kuna watu hawana huruma hata kidogo, hata wanyama wana huruma kuzidi huyu bwana. Anakuwa kama alien aliyeshuka toka Sayari nyingine
Comment by Tulonge on September 11, 2011 at 22:14
Hahahahhahaa @Lilian
Comment by Lilian on September 10, 2011 at 2:22
Huyu dawa yake kumvuta korodani zake hadi zikatie,hapo atashika adabu.
Comment by Tulonge on September 9, 2011 at 0:10
Hahahaahaaaa Dixon umepinda wewe, mimi sijasema wezi wawe wanaambiwa hivyo. Nilichosema huwa sishiriki kumpiga. Nyie wenye mioyo ya kuua watu endeleeni kuwatwanga wezi kama kawaida yenu.
Comment by Dixon Kaishozi on September 8, 2011 at 9:00
Heheee.. Mwizi akiiba unamkalisha chini.. wewe ni mtu mzima.. usiibe tena!!!  unaonaje hiyo Bwana Dismas? lol.. Unatafuta mchumba uoe nini ? te he tehe heeeeee
Comment by Tulonge on September 8, 2011 at 0:50

Sielewi mtu anakuwaje na roho ngumu kiasi. Yani unaona mwenzako anateseka kwa maumivu lkn bado unazidi kumpiga.Mimi huwa inaniwia vigumu hata kumpiga mwizi japo ametenda kosa. Mimi nadhani mtu mzima ukimueleza kwa msisitizo kwa mdomo anakuelewa zaidi ya kumpiga. Kumpiga kutafanya akuchukie tu na kukuona mkatili, hawezi kuwa na muda wa kukaa na kufikiria kuwa alitenda kosa ndiyo maana ukampiga.

Endapo nitaoa SIWEZI mpiga mke wangu kamwe.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*