Tulonge

I must show mama this complicated msg in Daddy's phone

Hii mitoto mijanja janja siyo ya kuiachia simu kabisa

Views: 235

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 17, 2013 at 15:25
Ha haaa haaaaa... Umeona kazi hiyo? Kuzima UPS kajifunza kwako, anapiga chabo kila kitu ufanyacho. Ukibonyeza kitu anaangalia kuona nini kinafatia. Watoto wana akili sana tofauti na wewe unavyofikiria.
Comment by Tulonge on October 13, 2013 at 9:07

hahahhahahaa eti dogo sharo kama baba yake.Yani mimi ni sharo? umepinda Mary

Comment by Wa Kimberly on October 12, 2013 at 23:08

ha haaaaa,dogo naona katoa jicho baada ya kubonyeza cm ikatoa mwanga.

Dogo sharo kama dingi yake.hizo pamba zilivyopangiliwa.dooh.

Comment by Tulonge on October 9, 2013 at 21:38

Upo sahihi mama Malaika. Huyu dogo ni mtundu sana.Nikiwa natumia desktop computer halafu nimkatalie kuchezea mouse, huwa ananikomesha kwa kwenda kuzima UPS kimya kimya then anatoka nduki. Sielewi ni nani alimfundisha kuwa ukizima UPS badi kila kitu kinazima. Na cjui nani alimuonesha button ya kuzimia.Nahisi huwa ananipiga chabo nikiwa nazima.

Comment by Mama Malaika on October 9, 2013 at 21:32
Ha haaa haaaaaa.... Na akikuta na wake uliokuwa unawahonga ndio utabanwa kama mjusi. huyu dogo navyomuona miaka miwili ijayo atakuwa anatumia computer yako bila kufundishwa hadi utashangaa mwenyewe kwani ana observe unavyoitumia. Watoto wa siku hizi ni computer wizard. Humu ndani mwangu nakoma. Lol....
Comment by Tulonge on October 9, 2013 at 16:48

Hahahahahaaaa Mama hiyo itakua balaa.Anaweza akamfowadia mama yake email zote za kina nanihii tuliokua tunachat nao enzi za fotobaraza

Comment by Mama Malaika on October 9, 2013 at 16:11
Haha ha haa haa haa haaa... Hilo jicho. Dismas nilikuwa sijaiona hii. Kazi unayo, subiria siku umesahau ku-log out your email account, etc... utakoma ubishi. Ha haa haa haaa.....
Comment by Lilian on October 6, 2013 at 23:46

Hahahhahaaa dogo atasababisha ndoa ivunjike 

Comment by Dixon Kaishozi on October 4, 2013 at 10:40

Hahahaa.. na wasisi kaona ""video clip"" isiyo eleweka.. maana hilo jicho!!!!  lazima aipeleke kwa mama!! hahahaa.. Hongera kijana!!

Comment by gilda komu on October 3, 2013 at 0:31

huyo dogo alivyo toa macho kweli hiyo sms imemshangaza sana.apo ningekua mm ningekua cna ujanja maana jinsi alivyo shangaa hapo ni lazima aseme tu.Du mtoto huyu noma kweli.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*