Tulonge

Views: 115

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 7, 2012 at 0:53

Ustadhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,safi sana.Mtu wangu Kanzu inakukubali.

Comment by Mama Malaika on February 3, 2012 at 2:22

Ustaadh Chaoga naomba kazi hapo ofisini kwako

Comment by chaoga on January 27, 2012 at 9:17

nawe pia @hashim

Comment by Hashim Said on January 26, 2012 at 19:50

Kaka Chaoga heri ya mwaka mpya 2012!

Comment by chaoga on January 23, 2012 at 12:46

teh teh teh jamani mwaka 2012 ndio nimekuwa hivi miaka yote iliopita nilikuwa kazini kupeleleza maisha tofauti...

Comment by Dunda on January 23, 2012 at 12:11

Dah kanzu mpya kofia mpya sheakh  full utata wallah

Haya labda 2012 shetani kawa malaika

Alafu nina card za mualiko Congo bar nitakuachia pale ofisini kwako mtheee

Comment by CHA the Optimist on January 20, 2012 at 21:00

Ustaadh anakula kitimoto huyu, we acha tu!

Comment by KUNAMBI Jr on January 14, 2012 at 13:36

hah hah kijana unaokena mtanashati sana hapa,ngoja na mm niweke yangu ili twende sawa

Comment by chaoga on January 14, 2012 at 8:58

jana nilialikwa msikiti wa qiblatein kutoa mawaidha kuhusu madhara ya pombe...sasa ilibidi nivae kiarabu zaidi...

Comment by Tulonge on January 13, 2012 at 15:25

Safi sana boss, sometimes inabidi uwe unajifanya umesahau njia ya kwenda bar na kuelekea msikitini.

¬© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*