Mhhh...kamanda...."shark" kwani amekua papa!....nikweli huitwa hivyo na watu wa Scandnavia au holland na Germany lakini huandikwa... " Schach".......kwa sisi wabongo au nchi yoyote wanao tumia English basi mchezo huu huitwa "Chase"....... jina ambalo linajulikana internationally!! Game nzuri hiyo na chemsha bongo kwa saaana tu!!
Comment by Mama Malaika on October 21, 2010 at 3:34
Du! AMa kweli duniani kuna mambo. sasa hiyo saini yawekwa wapi juu ya hilo dude?
Hii shark kama nimeandika vizuri na ndio baba la shark ulimwenguni kote lina sifa ya kuchezwa na watu zaidi milioni kumi toka sehemu tofauti ulimwenguni kote ukifika lilipo hili shark uku Scundnavia utakuta saini ya kila aliewai kucheza toka sehemu mbalimbali ulimwenguni
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge