Add a Comment
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Dismas mzushi tu! mbona sionekani na pigo za reggae!
doh hicho kibao ni lazima kitakuwa KISANOLA
Cha huyo! uko juu Cha!
Hahahahahahah..Cha upo????
Dismas una utani? We endelea, kama sijakufuata ofisini kwako.
haha haha alfani umepati inaelekea kabisa duuh
Hahahahaaa jamaa ana moyo kweli, yani aliamua kuchukua radio na spika toka nyumbani akaenda zake sehemu na kuanza kucheza duuuh!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge