Tulonge

Views: 115

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 15, 2012 at 14:26

Hhahaaa Mkwe,enzi mimi nilikuwa nishakamua Nurssery we sema basi tu nilikuwa narudia rudia hovyo Nursery,hahaahah.

Comment by Mntambo Mburi on February 13, 2012 at 16:42

Hicho kiatu kilitoka Moro shoe, wakati huo kulikuwa na viatu wana export ; lakini sio hicho changu!

Comment by Alfan Mlali on February 13, 2012 at 15:32

hahahahahaa! Sasa Ilya una utani na mkuu mntambo....Ina maana  yeye ni baniani mbaya??!!!!

Comment by Mama Malaika on February 10, 2012 at 0:57

Picha safi sana hii, nakumbuka enzi hizo.

Enzi hizo Dismas na Alfan walikuwa Primary School, Chalii IL-YA ndio alikuwa Nursery School. LOL.....

Comment by ILYA on February 10, 2012 at 0:36

Mhhh!kaka naona umenyonga mjusi mwekundu kw araha zako.!!safi sana,halafu kiatu chako dawa,haahah

Comment by Tulonge on February 9, 2012 at 23:39

Ni kweli itakua 95, kipindi hicho mimi sijawahi ona hata computer.Nilikua naisikia kwenye media, tena mara chache chache

Comment by Mntambo Mburi on February 9, 2012 at 17:38

Yaani technology ya flat screen ilikuwa bado kabisa huku kwetu!

Comment by Alfan Mlali on February 9, 2012 at 17:22

Aisee nimependa hiyo monita hapo!!

Comment by Mntambo Mburi on February 8, 2012 at 13:27

ahh  ilikuwa 1995, wakati huo nafanya kazi Computer Center

Comment by Tulonge on February 8, 2012 at 11:54

Safi sana,hii mwaka gani mkuu?

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*