Add a Comment
WAZO LA LEO,,, UKITAKA KUJUA SHORTCUT ZA MJINI, KULA NAULI,,,
limetulia mchina yuko juu, hasa mimi namshukuru mchina kwenye simu, kanirahisishia mawasiliano, touch, radio, saboofer, bank ya mahitaji mbalimbali kama umeme, maji, nikiwa bar safarini, nabofya tu huyo ni mchina,
Ni kweli ni Mchina; Hiyo ni Yutong; ndani ni zuri na mwendo si mbaya, sijui yatakapoanza kuchakaa!
Sio la kichina? hili maana hayakawii kudondoka mabati 1 baada ya jengine zaid ya hapo safii home fasta yaani me nikilipanda hilo siungi ni 1kwa1.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge