Add a Comment
nataka ya kulike comments za watu,kama hivyo ulivyoandika comment yako nataka kuilike lakini no like button,umenielewa sasa wangu?kama hujanielewa,nitakuwa cjakuelewa,utanielewesha zaidi@gratious
Martha.....button ya-like... hiyo hapo juu...angalia chini ya picha yako upande wa kulia kuna alama ya moyo!... nice pic!!
ila Mr tulonge tengeneza button ya kulike kama fb bana,hope utalifanyia kazi
asanteni wapendwa@Mary & Mr tullonge.
umependeza dada martha.
Daah! umenoga balaa, hongera mdada
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge