Add a Comment
Mimi nilishaongea na babu aniletee mzinga mmoja wa nyuki wa ulinzi, sitaki nyuki wa asali.Pia nimeshaongea na kamanda Kova kuhusu jibwa moja kubwa,nene na kali sana.Nakumbuka uvunguni kuna rungu mbili,mkuki,panga na shoka. Nasubiri ki-brazamen kisogee
hahhaha.. hapa sina utani na mtu aisee. Atakayejifanya kunyatia nyatia namvunja kiuno tu.
Duh! mkuu naona umefyatua kigoli. Ule mpango wa kufuga jibwa kali na mzinga mmoja wa nyuki unakuhusu na wewe teh teh teh
Ni kweli amehamia kwako sasa, kwa mama amekimbia.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge