Tulonge

Bustanini nikingoja msosi nkasema nichukue kumbukumbu yahizi taa maana kwetu kama hukuzikuta wakati wa Xmas basi wakati wa sherehe fulani....

Views: 149

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on October 16, 2010 at 21:42
PamoJah
Comment by CHA the Optimist on September 24, 2010 at 17:45
Safi sana
Comment by Mama Malaika on September 24, 2010 at 15:29
Jamani mie hilo gauni, naja kuliiba sasa hivi. Umependeza sana
Comment by Dunda on September 24, 2010 at 12:44
Hapo ndipo penyewe kumbukumbu Swafi na taa na kilissmass
Comment by Alfan Mlali on September 22, 2010 at 20:04
Kweli njaa ilikuwa yakuuma sana...maana ulivyonuna???!!!!
Comment by Mtemi on September 22, 2010 at 4:33
Safi sana dada umependeza kweli wenye wivu kazi kwao
Comment by Belita on September 21, 2010 at 20:25
Upo juu Dada,hongera
Comment by Tulonge on September 20, 2010 at 15:01
Dada umetoka bomba sana,hilo gauni lako ni kali. Na mm nikimtunisha tumbo mke wangu nitamnunulia hahahaaaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*