Add a Comment
We mwenyewe si unaona mkuu?? Yaani boonge la kivutio@Dixon..hahahhahaha
Hahahahaaa.. we Alfan ndo unakula bangi.. hahaa.. kivutio tosha kutoka tz.....
Kweli hayo maenoesho yalifana maana wewe mwenyewe ni kivutio tosha..hahahhha
Hili ni banda la Tanzania kwenye hayo maonyesho ya utalii yaliyofanyika Berlin-Germany.
Upo kwa shopping au ndo office.."umependeza
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge