Tulonge

Admin punguza kunywa gongo,unaona sasa wasinzia ofcn?

Views: 208

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on January 23, 2014 at 13:02

nimekwambia acha kukesha kwenye vibanda vya ulanzi husikii sasa unaona

Comment by Christer on December 5, 2013 at 0:24

Mmmh bila shaka wewe ni Chausingizi dogo

Comment by Dunda on November 20, 2013 at 19:06

Usingizi hauna adabu

Comment by Dixon Kaishozi on November 19, 2013 at 8:57

unasinzia ofisini.. usiku kucha ulishinda una fanya nini ? hahahahaa.. Au ulikua unagonga show  mpaka asubuhi ? pole kakaa.. hahahahaaa

Comment by Tulonge on November 14, 2013 at 14:40

Hahahhaahaa mama ww acha tu, kila siku ugomvi nyumbani

Comment by Mama Malaika on November 13, 2013 at 23:24
Omary kakupata @ Dismas. Ha haaaa haaaa....
Huyo mama Chanja una muda naye kweli au masaa yote wamalizia kwa wahindi?
Comment by Tulonge on November 13, 2013 at 22:15

Omary hicho kiti kimepauka sababu ya kukanyagwa na viatu

Comment by habiba mustafa mlawa on November 13, 2013 at 9:45
ofosi inachosha hata mm huwa nasinzia na kukoroma kabisa yani ukishanibana usingizi sifanyi kazi kabisa angalau nilale hata dk 5 kisha niendelee
Comment by Tulonge on November 13, 2013 at 6:49

Hahahahhhaha Omary chizi sana ww, umekitafuta cha kuponda hadi umekipata.

Comment by Omary on November 13, 2013 at 2:56

Halafu kiti chako kimejaa vumbi Isee hawa wahindi watakuuwa mtu wangu

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*