Tulonge

Views: 202

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on September 10, 2011 at 16:13
Hahahahahahaha! Patamu hapo unapogoogle na kujua kuwa umpendaye anafikiria ni vipi atakupiga kibuti!!!
Comment by Lilian on September 10, 2011 at 2:16
Hiyo ya kwanza ingesababisha ugomvi mkubwa baina ya watu. Watu wangechukiana sana.Bora hivi hivi tu.
Comment by Silas A. Ntiyamila on September 9, 2011 at 11:33
Kaka hiyo imetulia, kwanini tusianzishe Darasa la maisaha??? Ni bomba kishenzi
Comment by Dixon Kaishozi on September 8, 2011 at 15:18

Sasa hivi ningeisha Fahamu WANAKIJIJI wote wanavyo FEEL about me.. hehee..

- wengine sijui hawanipendi.. hahahaa

- wengine wananipenda ... lol

- sijui wasichana wana ni feel kiniaje? ha ha ha haaaa

- washkaji sijui ndo ni vipi ?

YANI.. INGEKUWA BOMBA SANA!

hahahahaaa

Comment by KUNAMBI Jr on September 8, 2011 at 10:09
safi sana
Comment by Bonielly on September 8, 2011 at 9:48
ujumbe makini,,,,,
Comment by Dixon Kaishozi on September 8, 2011 at 9:08
Nimeipenda sana!!
Comment by Hilda Masaure on September 8, 2011 at 8:20

hahhahaha haswaaaa

 

Comment by ANGELA JULIUS on September 8, 2011 at 7:54

ha ha ha habari ndo hiyo

Comment by Dunda on September 8, 2011 at 4:03
DUH KWELI UJUMBE KAMATA HUOOO

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*