Tulonge

Viongozi wa tatu (UK, US & Nigeria) wakiwa safari za kikazi. Kiongozi wa Africa kwa raha zake hata briefcases abebewa

Views: 241

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on November 23, 2014 at 19:03
Dunda... Ha haa haaaa
Tulonge... Africa tuko kama wahindi na waarabu. Teh teh
Comment by Tulonge on September 23, 2014 at 22:44

Waafrika kwa kupenda uheshimiwa hatujambo teh teh teh

Comment by Dunda on September 23, 2014 at 17:16

Aaah kama itatokea kumuoza mpwa wangu kwa yule jirani,Lazima nijikatae 

Comment by Mama Malaika on September 6, 2014 at 3:33
iwapo Africa tungekuwa na visionary leaders and strong leadership tusingeongozwa na hawa wazungu. Viongozi wote Africa are corrupt and greedy. Hii last month (August), Sirikali ya Uganda wameondoa sheria kali dhidi ya mashoga (homosexuals) waliyoipitisha huko nyuma. Uamuzi huu umekuja baada ya nchi wafadhili kupunguza misaada kwa sirikali ya Uganda, na nchi nyingine wafadhili kuondoa kabisa misaada kwa sirikali ya Uganda.
Comment by Mama Malaika on September 6, 2014 at 3:30
Dunda... Ndio hayo matokeo ya kupenda vya bure (misaada), waweza jikuta waoza mpwa wako kwa jirani yako yule wa kingazija sijui mpemba kisa walipa fadhila. Ha haa haaaa
Comment by Dunda on September 1, 2014 at 10:59

Wanaongozwa nao wako kimya kama hawapo vile...

Comment by Mama Malaika on August 28, 2014 at 8:25
Kaka CHA karibu kwenye Sane Society. Ha ha ha ha ha ha ha ha....
Ujue picha hii kanitumia rafiki yangu toka Nigeria. Ha haa ha haaa
Comment by CHA the Optimist on August 27, 2014 at 14:55

Ha ha  ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.

Dada Tutakuzuia kuingia barani Afrika, shauri yako. Nimecheka sana--na ni ukweli mtupu. UMWINYI etc etc etc......

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*