Tulonge

Kweli ametoka mbali, hivi unamuona alivyokua amechakaa? Angalia viatu vyake kwenye pic ya kushoto.Angalia miwani yake ya kike.Rangi ya ngozi full kupauka

Views: 202

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on November 20, 2013 at 18:53

Nafikiri jamaa amejitahidi sana mpaka hap alipofikia kimaisha wengine tuzidi kujifunza

Comment by Bonielly on November 14, 2013 at 12:46

maisha ya binaadamu yanaanzia mbali, hata mwenyewe anakiri kwamba alikotoka na alipo ni tofauti,

Comment by Mama Malaika on November 13, 2013 at 23:21
Ha haaa haaa haaaa haaaaa... Belita na miwani. Naona siku akikuazima utaikataa.
Comment by Hashim Said on November 13, 2013 at 19:40

Kweli kabisa Belita, Diamond ametoka mbali sana kuliko nilivodhania!

Comment by Belita on November 12, 2013 at 8:57

Miwani ya kike imenishangaza zaidi hahahahhahhaaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*