Tulonge

yanga 1 simba 0 2011-07-10

Views: 107

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on July 14, 2011 at 17:58
Nyie si ndio wale wale wa ChakaChua Matokeo!!! Kila mechi mliocheza Kagame mmebebwa.
Comment by Severin on July 14, 2011 at 15:54
Hakuna cha Kaseja wala nani, piga bao tu. Tubebwe, tusibebwe tulichokitaka ni ushindi. Huwa tunataka ushindi bila kujali umepatikana kwa njia gani.
Comment by chaoga on July 14, 2011 at 8:04
ha ha ha  maneno ya kukosa hayo @dunda itakuwa poa sana ukileta hiyo rangi ya ushindi @gratious
Comment by Dunda on July 14, 2011 at 4:38

Amani iwe juu yenu

Hongeleni kwa ushindi wa kubebwa

Ndio maana tuliwazimia taaa

Comment by Gratious Kimberly on July 13, 2011 at 21:59
Mzee chaoga.......nikija bongo nakuletea kijani tupu na njano juu yake.....simba domo kubwa, nyama kula hawezi......Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Comment by Severin on July 13, 2011 at 20:15
Oyeeeeeeeeeeeeeeeee, funga midomo yao kabisa,wakawa wapoleeeeeeeee

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*