Add a Comment
Hahahaahaahaa mkuu Eddie umenikumbusha mbali sana, kumbe bado unakumbuka ile kazi ya ubondia ya enzi hizo.
Niliamua kuachana na ile kazi, niliona kuna dalili za kukutana na Francis Cheka. Angewenza ning'oa kidevu, jamaa noma sana yule.
HA HA HA HA KAKA EDDIE UMENITOA KICHEKO LOL NALO HILO NENO HA HA HA
Msije mkasahau huyu ni bondia, huenda wakati wa ubondia walimjeruhi kona ya kidevu ndo maana ndevu hazioti pale!
yaani namaanisha wewe unatamba keko,uwanja wa fisi,tandale kwa tumbo yaani wanakugombania wale wa mia 2 mia 2 dau likizidi 500 lol. nawashangaa wale wa siku ile wamekutoza buku5? walikuona wa mjini hahahah.
Hahahahahahahahahaaaaa Sasa Ommy mbona hueleweki kama unaniponda au unanisifia?
Toz la keko linauza Dis unajuwa wewe ni bonge la nyangema yaani kule kwenu uwanja wa fisi si wanakukoma na kwaju wako huo ukipita manzese uwanja wa fisi tandale kwa tumbo yaani wew ndio HB wao wadada wanadundana kila mmoja wanguuu wanguu ukisachiwa nfukoni huna hata kumi safari zako zote unakatiza kwa miguu lol.
Tokelezea baba Ian
wewe mtoto mbona ndevu kama kiduku kajisemea Omary upange mmoja.
kiukweli mnyonge mnyongeni haki yake umpe umependeza sana tena sana chezea mtoto wa kisambaa wewe.
Pa1 sana wadau wote. Mkuu Mwinyi ujue ndo uzee unakuja hivyo teh teh teh
mkuu naona umebadilika sana sio kama mda uleeee
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge