Kuna baadhi ya wanawake siyo wa kuoa kabisa
Tags:
Add a Comment
Hiyo ndio raha na karaha kuoa Mbeijing ngumi mkononi
Asalalee!!!
Hahahahahahahaaa Angela ukijilengesha kwa mdingi wangu mbona utalijua jiji.Mziki wake sijui kama utauweza. Bora ujilengeshe kwangu, hata hivyo mziki huta uweza.
Dixson umeonaaaaa hebu nakuomba uniinibox nimfanye nini manake naona amesahau nilivomsamehe kumdumbukiza baharini.
@ Kunambi umeona dogo alivo nuksi hebu na wewe nipe report yako nimfanye kitu gani?
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA... Angela bhana!!!!! Mambo mengine tunajitafutia wenyewe.. Hebuona Kunambi alivyo kunjwa na huo mwili.. Sasa wewe Dismas ukikamatwa itakuwaje ? HAHAHAHAAA
Omary yani siyo siri nimemmaind kiaina sasa dawa yake inabidi nijilengeshe kwa baba yake mzazi anioe ndo ashike adabu zake na heshima atanipa heshima zangu siku za maisha yake.
hii ni noma
@Daffa skype id yangu ni: faisal.omary karibu sana kaka Daffa
Hahahahah Angela kama nakuona vile ulivyokuwa na hasira na tulonge lol
nimekaa kimya natafakari nikufanye nini wewe uliyeweka hiki kichwa cha habari kwa hiyo unamaanisha mimi siyo wa kuolewa au sijaelewa kabisa walahi nikikukamata Tulonge nakutoa nyongo hata kama huna malaria
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge