Tulonge

yani watoto hv lkn wameanza kushikishana ukuta.Hii si hatari jamani

Views: 223

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on May 6, 2012 at 12:14

DUH!! Tumwmbe MUngu anasuru watoto wetu na gharika maana hii sasa ni zaidi ya sodoma na ghomora.

Comment by ILYA on March 9, 2012 at 13:13

hahaha,Dogo bwana, anajifanya ati nae anaweza kazi!

Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:29
Miaka 25 iliyopita haukuweza kuona mtoto mtaani acheza kama hivi. Hata vikundi vyetu vya music hawakuwa wanacheza kihivi kama miaka ya hivi karibuni kuanza vituo vya Television Tanzania (1994?). Ndio maana baadhi ya nchi (hasa za kiislam) zinapinga TV zao kuonyesha music wa Hip Hop kwani music video zake ukiwaangalia kina Lil Kim wanavyocheza ni balaa, na ndio hawa watoto wanakoelekea. Na hii sio kwenye kucheza peke yake kwani hata mavazi hivi sasa bongo twavaa style tuonavyo kwenye TV (cultural imperialism) ingawa style hizo nyingi haziendani kabisa na shape zetu za kibantu.
Comment by Babengwa on June 9, 2011 at 8:32

NOTHING HAPPEN TO CHILDREN IF THEY DON'T HAVE A PLACE COPYING.Watoto ni kama kima( sokwe) kitabia ni wigo( a good imitators).Tujiulize wao wameona wapi kama si sisi ,watu wazima tunaoweka C.D blue film,au kuonesha vitenda hivi hadharani iwe kwenye Rusha roho AU minenguo n.k

WHAT U EXPECT, ikiwa leo Mchungaji wa kondoo akijeruhi kondoo wachanga .KWA KWELI KWA NAFSI yangu kama ni mzee napata uchungu moyoni uelekeo ni mchafu.......na hatima ya balaa katika jamii

Comment by KUNAMBI Jr on June 5, 2011 at 12:11
kweli ulimwengu umevaa skirt now jaman duuh
Comment by Julius Mwanakijiji on June 4, 2011 at 11:24

Haya ndiyo matatizo ya utandawazi kwa sisi  huku faida na hasara zake.

Hapo binti anasikia raha lakini hajajua nini madhara yake kwake baadaye inaanza kumjenga kiasaikolojia. Wazazi tuwe macho sana jamani.

Comment by Bonielly on June 4, 2011 at 11:18
sasa tunapoelekea sijui itakuaje,
Comment by Lutamyo J. Kingdom on June 4, 2011 at 10:41
Huu ndiyo mwisho wa dunia  ukiona mambo kama hayo ujue tupo katika wakati wa mwisho kabisa................. angalia usifulahie juu ya hili bali mwombe Mungu aukupe neema uone na kuingia kwenye ufalme wake
Comment by EDWIN NTUNGILWEGE on June 3, 2011 at 23:54
Let them enjoy,coz time is rushing very fast approaching to the end of this world,and it is a very big loss for someone who delay to have played such a game! It's jus a joke,are u mzima kiafya lkn?
Comment by Alfan Mlali on June 3, 2011 at 21:36
Hahahahahahahahahhaa! Duh kweli dunia imekwisha!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*