Add a Comment
KIUKWELI HAWA WATOTO WANAHITAJI ADHABU KALI NATAMANI NIWAHUKUMU ILA SINA RUHUSA HIYO MATOKEO YAO WATAYAONA SOON AMBAYE MUNGU PEKEE NDO ANAYEYAJUA.
HOOOOOO WEIIIIIIII COMMENT ZA WATU ZIMENIVUNJA MBAVU, WEWE DISMAS KWELI NYANI HAJIONI KUNDULE HV WEWE UMEJISAHAU?.
Duh hatari kweli kweli
UNAJUA NI NYUMA YA DARASA HAPO YAANI WAMEACHA KIPINDI, WANAENDESHA KIPINDI CHAO extra curriculum duuuuu!
Hahahahaa... Chaoga bana!!!!
Mmmmmmmmh!
WATOTO WA SIKU HIZI WANAFAIDIANA MAPEMA...
Hahahhaha wala nisngekua nachapa, huwa naamua kuacha.Watu wana matatizo yao.Ukiwa unapenda kupiga piga utashangaa unaua mtu siku 1
Dismas ungekuwa Mwl wanafunzi wangekoma
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge