Tulonge

Kwa hali hii tunategemea matokeo ya mitihani yatakua mazuri?

Views: 229

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on January 14, 2013 at 17:14

Dismas nimeamini... hapa hata vitabu ukipeleka hakuna kitu.

Comment by Kayay Faiz Junior on January 14, 2013 at 17:12

hapo hamna kitu nd'o wote hao hawafiki shule wanaishia kwa magheto ya waskaji zao

Comment by Tulonge on January 14, 2013 at 17:05

Ningewaona hao ningewanyemelea kimya kimya. Wangestukia bakora za mgongoni bila hata kuwasemesha. Pumbavu sana!!

Comment by Tulonge on January 14, 2013 at 17:04

Mama kwa hali hii hata ukiwapelekea vitabu mashukeni si itakua kazi bure. Wanawaza mapenzi tu

Comment by Mama Malaika on January 14, 2013 at 16:59

Duh! Watoto siku hizi hawajizui tamaa za mwili halafu wanapenda sana chips kuku matokeo yake ndio haya

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*