Tulonge

Hiki kisiwa ni moja ya visiwa vilivyoko ndani ya ziwa, ni pazuri sana. Kufika huko ni mashua, boats au ndege ndogo za watalii

Views: 202

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on December 21, 2012 at 4:16

DIXON... ni pazuri sana sana halafu hivi sasa wazungu wamegundua na travel agency (UK) zinapeleka watalii moja kwa moja hapo via south Africa. Wana Tulonge mkienda huko kuna hatari Dismas hatorudi Kigamboni (Dar). Teh teh teh...

Comment by Mama Malaika on December 21, 2012 at 4:10

KUNAMBI Jr... huku ndiko alikozaliwa marehemu babu yangu

Tawonga... muhimu sana kwenda nyumbani hasa ukizingatia Dar kumejaa vurugu zote. LOL.... 

Comment by Dixon Kaishozi on December 18, 2012 at 14:56

Ndiyo maana Malawa wanapalilia hapa!!! Pazuri sana, nadhani familia ya tulonge inahitaji kujipanga tukakutana wote kisiwani hapo tukapunga upepo pamoja!!!

Comment by KUNAMBI Jr on December 13, 2012 at 14:51

Mama Malaika ushafukunyua kote huko duuh

Comment by Tulonge on December 13, 2012 at 2:12

Pametulia sana hapa, ukifika hapa stress zote kwisha.

Comment by Dunda on December 7, 2012 at 17:09

Ahsante kwa maelezo mungu akipenda na kunipa uzima nitafurahi kufika hapo (kunyanja)

kuzuri sana

Comment by Mama Malaika on December 6, 2012 at 17:19

Comment by Mama Malaika on December 6, 2012 at 17:10

Inategemea na gari uliyonayo kwani Mbinga hadi Mbamba Bay (ziwani) ni kama 40km hivi. Na ukiwa na muda wa kutosha unapanda ferry kuelekea malawi ambayo inapita kwenye hiki kisiwa, kiko jirani kabisa na fukwe ya Mbamba Bay. 

Comment by Mama Malaika on December 6, 2012 at 17:02

Ha haa haa haa.... ujue ni mazoea ya wenyeji hivyo unajikuta unasema ziwani au kunyanja kwa kilugha iwe Mbamba bay, Manda, Liuli, etc. Ukiwa mgeni kabisa maeneo hayo inabidi utaje jina la kijiji/kitongoji kama vile Mbamba Bay, Liuli, Manda, Pumulani, etc.

Comment by Dunda on December 6, 2012 at 3:28

Ni mwendo wa masaa mangapi toka Mbinga mjini mpaka (ziwani) yaani hadi hapo kwenye maji

Alafu hii lugha inanichanganya kweli maneno kama (Ziwani) yaani aliji kabisa kinidhamu

Kwa mfani ndio unataka kwenda ziwani na umekutana na mdada hivi swali gani zuri unaweza kumuliza ili ufike unapotaka?Ili alina mtu maalum

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*