Add a Comment
hiyo mikono kuna sumaku nini? arusha kuna baridi,
Aiiiiiiiii mi naona hata aibu jamani, cna cha kusema mi mtazamaji tu
Halafu Cha una majini eeeh?
Dixon ndo umeamua kuwa na mke wa pili. Angalia bwana, watasha wana wivu sana! tehe tehe tehe
HAHAHAHAAA... WE ANGELA NI SHIDA KWELI KWELI... UNAUMA NA KUPULIZA.. HAHAHAHAAA... HAYA MI SI TII NENO TENA, NAONA UMEKUJA NA KIDOTI.. HAHAHAA
HA HA HA HALAFU NIMERUDI KUCHEKI HII PICHA VIZURI KATI YA DIXSON NA LUCIE NANI ANACHO KIDOTI? WADAU KAZI KWENU
SASA NA WEWE DIXSON AKA KIBELAAAA MBONA UNATAPATAPA MZUNGU YUPO WAPI? HALAFU SIKU HIZI SIONI SWAGA ZENU ISIJE IKAWA UMEPIGWA ROBA LA CHUMA MANAKE LA MBAO LINA AFADHALI.
MWACHENI LUCIE WANGU WAKE YUPO ULAYA ANAMALIZIA MASOMO ANAKUJA KAENI MBALI MTAPIGWA RISASI YAKE YEYE HAJAAZIMA MAHALI ANAMILIKI MWENYEWEEE NYINYI MPAKA MUENDE MKAAZIME SHWAIN PUB NDO MTOKE TUWAONE LOL NIISHIE HAPA HA HA HA
HAYA SASA OOOO ANGELA SIJUI NINI OOOOO MWONGO MMEONA SASA HALI HALISI WENYEWEEEEE ALFAN HATIMAYE KAKUBALI NA WENGINE NDO NAWAPA UKWELI MKINIONA NIMETIA MAGUU MAHALI MJUE MSEMA KWELI KAPITA NA SIPEPESI SASA ALFAN UMEKUWA MFA MAJI SASA UNATAKA ARUSHA BAADA YA MORO NA ARUSHA NAYO MUDA SI MREFU PINGU HIZOOOOO UTAFIKA HADI MFARANYAKI MWAKA HUU LOL POLE SANA ALFAN SASA SIYO NDO UNINYIME ILE WINE YANGU KISA NIMEKUUMBUA
Lucie hujatulia weye. Eti nafuu vita ya Chadema. Na hamu na hiyo siku nitapokutana nawe uso kwa uso. Ha haa haa....
Ha haa haa haa haaa.... Alfan kujibaraguza kote huko hatimaye umekubali na kusema "roho inaniuma"
Sasa naona unanitafuta @ Alfan
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge