Add a Comment
Ntaandamana kwa kweli mpaka Moro kwa miguu sikubali kuzungukwa mchana kweupeeeeee....
LOL KWELI WAJINGA NDIYO WALIWAO HAYA KALAGA BAO MWANA SI WAKO MWAKA WAKO HUU UTAJIJU KIMYA KIMYA KAMA UGALI NA MLENDA LOL
mmmh..acha uongo wewe hakuna kitu kama hicho,unataka kutugombanisha na mpz wangu...
HA HA HA MIMI NGOJA NITOBOE TUU UNAMTAJA MTOTO WA WATU YUPO HOEYMOON ASIJE AKAKOSEA STYLE BURE YA KUTEMBEA SASA NI MKE WA MTU WEWE ULIEEEEEE TUUUUUU ALFAN LOL MKE WA PILI JARIBU KUFANYA APPLICATION MAY BE LONDON LOL
hahahaaahaha...kwa hiyo mnatuiga mie na Christer??? shauri yenu
hahahaa... Mbona wewe na Christer tumewakubali ? Na sisi tutawatangazia mda si mrefu... hahahaa
Hahahahahha unataka nianze kuhojiwa vizuri?
hahahahha..haya narudia...mmependeza sana bwana na bibi...lol
Eti kama.....ondoa hiyo kama
Dah ila mmependeza sana kama bwana na bibi..hahahaha
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge