Tulonge

Nikiwa na mchumi mwenzangu Dr Dambisa Moyo (right). Dambisa ni international economist anayekubalika west na sio kwa viongozi wengi Africa sababu ya economic policies zake na pia kitabu chake cha DEAD AID. Vitabu vyake 3 vinatumika kama case studies at Oxford & Havard University. Ukiacha nyadhifa alizonazo, aandika makala kwenye The Wall Street Journal & Financial Times.

Views: 119

Location: Cotswolds-UK

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 11:06
Asante Dunda wa kunyumbi. Lol....
Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 11:05
Asante Cha the Geeat
Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 11:03
Omary.... Kagame akushika Tanzania mbona wengi watakimbia vyeo na offices wenyewe bila hata kuamrishwa. Na wale waliogeuza Ikulu kama gengeni basi wataiona kama makao makuu ya jeshi, hata kusogelea fence unaogopa. Lol...... Kagame ana nidhamu ya hali ya juu sana kikazi na wanamuogopa utasema Nyerere alivyokuwa akiogopwa enzi zake, kosa dogo tu unafukuzwa kazi, hakuna mambo ya tume kama TZ bali unaambiwa straight kuwa huna kazi na kama ni umefisadi unafilisiwa na kupelekwa mahakamani.
Comment by Mama Malaika on May 2, 2013 at 10:41
Hahaaaaaaa....... Dismas ulijuaje? Ni kweli, siwapi pesa kwani kwa umri huu si vyema kumpa mtoto pesa. Na uzuri baba yao anapenda tuwalee watoto wetu ki-Tanzania na sio kikwao (Kizungu), na wame adjust uzuri kwani hadi leo hawana simu, computer wala TV vyumbani mwao.
Comment by CHA the Optimist on April 27, 2013 at 9:42

Safi sana!

Comment by Dunda on April 27, 2013 at 7:47

Babu kubwa mimi nimewakubari

Comment by Omary on April 4, 2013 at 1:48

Kiukweli kwetu kumeshahalibika sasa sijui nani? ataweza kuja kufanya mabadiliko maana ukiingia kila idala imehalibika wapo wachache wenye moyo wa kufanya kazi kwelikweli ila wavunjwa nguvu na wengi waliokalia vyeo kwa manufaa yao hilo ndio tatizo, yeah nasikia Rwanda Mr paul Kagame kaiwezea sana sheria zinafuatwa na uchumi unakuwa hiyo safi tukimpa Kagame Tanzania ataiweza maana hacheki na mtu kazi mwanzo mwisho ila 2015 tunamjalibu mr tulonge sijui nae atakuwa kama wale? lol lazima alipe madeni yake kwanza kisha apeleke watoto kusoma ughaibuni ampeleke my wife wake akasome kingeeza kama mr Liatonga alisema aliposhika wizara ya mambo ya ndani tu mke wake alipelekwa uk kusoma ingiish wagogosi wa kaya huwa wanatamka hivyo lol.

Comment by Tulonge on April 3, 2013 at 23:17

Teh teh teh Mama nasikia kina Malaika huwa wanatumia nguvu nyingi sana kukushawishi uwape hela. Unawabania balaa. Ila wakienda kwa mdingi wanapewa fasta

Comment by Mama Malaika on April 3, 2013 at 15:02

Dixon.... wachumi ubahili wetu nafuu kuliko ubahili wa Dismas. Teh teh teh....

Dismas... Asante salamu zimefika.

Omary.... Nilienda Rwanda 2010, katika nchi zote nilizofika kikazi Rwanda ina good governance na system yao kiujumla iko transparency, na ndio nchi inayoongoza kwa best work ethics in Africa, tena Dambisa ndio alioniunganisha. TZ siwezi kabisa fanya kazi kwani kuna system mbaya ya kazi, muda wa kazi haupo na haujulikani kabisa, na corruption ipo kila office. Nachangia sana maendeleo ya Africa kwani nafanya projects nyingi za SADC zilizo chini ya UK & EU pale Namibia & Botswana hivi sasa.

Comment by Mama Malaika on April 3, 2013 at 14:17

Omary... Dambisa atoka Zambia na si Zimbabwe. Mzee Moyo ni jamaa ya mke wa mjomba wangu kiukoo. Jina Moyo latumika Malawi, Zambia & Zimbabwe. Ni kama vile Mapunda la Tanzania (Ruvuma) unalikuta sana Malawi & Zimbabwe. 

Kuhusu kuzeeka nafikiri lifestyle yachangia sana. Lifestyle yangu ni tofauti na rafiki zangu wengi kwani niko more active upande wa mazoezi na pia usingizi kwangu ni muhimu kuliko kwenda Disco au bar

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*