Haya ndio matatizo ya kuamini kuwa mtu mmoja anaweza kufanya mambo yooote. Ndio maana unakuta akina KANUMBA ndio wanaohariri, wanaotunga, na wanaopiga picha za video, na hata kuigiza. Jamani, Watanzania!
Tags:
Add a Comment

Halafu kitu kama hii inauza huko ulaya kwa wazungu wenyewe wenye Lugha.
Duh..Kidhungu kigumu aisee...hahahahahahahha
Nadhani Copy rigths haikupaswa iwe hivyo,bali ni Copyright.
Mjomba unachunguza sana wewe. Mimi huwa na-enjoy movie mambo mengine nawaachina wenyewe.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge