Tulonge

Mambo ya kutesana unapo-join form 1 shule za bweni

Views: 235

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on September 12, 2011 at 8:31
Haya mambo si mazuri. Kweli ni ujinga tu! Huyo dawa yake ni kama unavyosema bwana Dismas!! Ni kumfurumusha na mawe tu mpaka kieleweke. Mi nakumbuka watu kama hao tulikuwa na group letu la kuwapa displin. akijidai mbabe tunamsubilia usiku bwenini amelala.. anakulabakora na kumwagia maji baridi.. pumbafu!! Ananipa hasira huyu jamaa.. na hizo soksi ukute zinatema mbaya!!
Comment by Tulonge on September 12, 2011 at 0:14
Huwa wanaangalia na wakuwatesa.Ladba kusiwe na mawe karibu ndiyo atanitesa hivyo,vinginevyo rundo lote la mawe litaishia mwilini mwake. Ukute class halina hata akili halafu linaleta ubabe wa kijinga.
Comment by Dunda on September 11, 2011 at 23:14

Ni ujinga tuu unamuonea kwa vile mwaka wake wa kwanza akifikia mwaka wa pil na watatu wewe lazima uame shule au uwe umemaliza na yeye atawatenda wenzie

Nakumbuka Sec MAMBO KAMA HAYO YALIKUWA MENGI SANA NA MATOKEO WATU WALIKIMBIA SHULE KABLA YA MTIHANI WAO WA MWISHO

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*