Niko na captain wa jahazi (dhow) tukielekea kisiwa cha Mbudia.
Tags:
Add a Comment
Hahahaaaa... Naona mama umepafagilia sana, sasa itabidi nijitahidi nikutane na Alfan anipeleke .. Lakini kitugani kitanifanya nigome kurudi Arusha ? hahahahaa
Ha haa haaa... ujue kule Arusha kazoea kuona small Lakes na hazina mchanga mzuri mweupe kama wa wa Indian ocean (Mbudia). Ha haaa
Kweli kabisa mama Malaika..Dixon akifika Mbudia atagoma kurudi Arusha..
DIXON ukienda Mbudia hurudi. Halafu Oswald kapotelea wapi? huku kuna mfaa sanaaaaa
Mkuu eddie sikujua kuwa kuna Orange revolution..itabidi niende Ukraine nikajionee vizuri zaidi..hahah
hahahahahaha! Dixon njoo mashati yapo kibao tu na ofa ya kuogelea na watoto wazuri utapata..lol
Hahahahaa na mimi naomba unipeleke huko nikavae shati la maua maua
Hiyo orange revolution ya Ukraine imehamia bongo nini?
Dismas nitafute siku moja nikupeleke ukashangae shangae maana wewe umezoea kigamboni tu!!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge