Tulonge

kanisa la ufufuo na uzima wa kiroho...

Views: 103

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 31, 2012 at 0:48

Si utani, huyu ni kama Dismas. Ila kama kuna kazi ya kutunza sadaka mie natuma maombi

Comment by chaoga on February 28, 2012 at 9:34

mda si mrefu utakuwa sio mwenzetu @dismas naona umeanza kukusanya ndugu zako kwanza..

Comment by Alfan Mlali on February 27, 2012 at 23:29

hahahahhahaa..si nakuona hapo lile shati lako la kipaimara!!!

Comment by Tulonge on February 27, 2012 at 22:39

Hhahaahahhaaa achezi uzushi nyie,kazi ya uchungaji nimeianza lini?

Comment by Alfan Mlali on February 27, 2012 at 19:25

mmmh..Huyo mchungaji mbona kama Dismas jamani au macho yangu yanamakengeza??!!!!

Comment by ILYA on February 25, 2012 at 15:54

Hahahahha,wako biiiiiiiiiiiiiiiiize,wabongo bwana.!!

Comment by chaoga on February 25, 2012 at 8:33

wahini jamani kabla miujiza haijaisha nguvu.... mwenye kutoa sadaka zaidi ndio atapewa ofa zaidi ya maombi...

Comment by Tulonge on February 23, 2012 at 21:18

Hahahaaaa wapi hii? naona mchungaji yupo bize kweli

Comment by manka on February 23, 2012 at 18:56

hahaahaha @ chaoga mimi nilidhani hili kanisa ni la kufufua wafu.

¬© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*