Tulonge

Mgodi wangu mwingine umetema.Nifuate nikuchotee kidogo

Chezea Baba D wewe, sitting room yote imechafuka teh teh teh

Views: 171

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on August 16, 2012 at 15:47

DAH TUFANYE NDO KWELI UMEKUTANA NAZO SEHEMU LOL BINAFSI HAPO HAPATATOSHA NA NIMEPITIA TENA MITAA HII NINA HATIHATI YA KUOTA USIKU

Comment by Mama Malaika on June 29, 2012 at 19:57

Dismas naona na wewe umekuwa mzee wa vijisenti, naomba kuwa financial adviser wako. LOL....

Comment by ANGELA JULIUS on June 15, 2012 at 15:42

lol Bonielly wala si nyingi hizo ukiziingiza kwenye miradi

Comment by Bonielly on June 15, 2012 at 15:31

pesa kama hii utakufa kabla ya wakati maana kila kitu utataka kufanya wewe, magari ya kifahari utayataka wewe maana utafikia kipindi utakufuru,

Comment by Agnes Nyakunga on June 14, 2012 at 7:59

mimi ctaki niangalie kwa kweli napagawa, na ukata huu mamaa nafwa!

Comment by Tulonge on June 13, 2012 at 20:27

Teh teh nyie shangaeni tu wakati mimi naendelea kuzitumbua.

Comment by ANGELA JULIUS on June 13, 2012 at 17:02

NAHISI KAMA VILE KUOTA SI KUOTA BASI NIPO NIPO TUU UNAJUA MACHO YANGU YAKIONA PESA NAPATA KIGUGUMIZI HA HA HA

Comment by Christer on June 13, 2012 at 7:55

Mmmmh aya bana

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*