Tulonge

Kipimo cha maendeleo ya nchi au jiji fulani ni huduma bora zitolewazo kwa wakazi wake. Kabla ya kujenga majengo mapya makubwa ya vioo katikati ya jiji na kule maeneo ya Kariakoo (ambako majengo yamebanana na kuganda hata kukitokea shoti ya umeme kwenye jengo moja maelfu ya watu wataangamia), viongozi wetu wa serikali na jiji walipaswa kuboresha drainage system, good public transport, umeme wa kutosha (sio mgao), huduma ya afya, maji safi na salama kwa wakazi wa Dar es salaam.

Views: 139

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on July 6, 2011 at 23:50

Ujue hivi sasa ilipofikia serikali na viongozi wetu Tanzania ni kwamba wamepoteza kabisa mwelekeo.

Comment by eddie on July 1, 2011 at 23:37
Dada uko right saaana! Viongozi wetu wanafikiri majengo makubwa ni maendeleo. Inasikitisha sana kuona mambo kama hayo. Ughaibuni kabla haijajengwa nyumba inabidi upite sehemu nyingi ili upate signature na vibali tone moja!
Comment by Alfan Mlali on July 1, 2011 at 21:54
Umesema kweli tupu kabisa Mama Malaika..Viongozi wetu sijui wanafanya kazi gani nami nakubaliana na aliyesema "Watanzania tumewekwa ndani ya chupa"!!!!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*