Add a Comment
Kweli kabisa ni mpole sana na mtaratibu ila akiamua jambo kumbadilisha inahitaji kazi ya ziada!
ANAELEKEA MPOLE SANA HUYU MAMA SALIMIA YEYE
Humdanganyi mtu Alfani! Camera za ma-detective zinafichwa kiasi kwamba huwezi kirahisi ukagundua ni bulb au kitu kingine! Watu wanatengeneza hata kifungo cha shati camera itakuwa hii bulb holder?
mashalah! unajua kuchagua kweli Alfan.
Hahahahahahhaa! Hapana Eddie sio kamera ile ni holder ya baulb mkuu...!
Yaani Alfani detective nini? Naona umeweka camera kabisa nyuma yake! Hahaahahah!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge