Tulonge

Jinsi watoto watakavyokuwa wanazaliwa miaka ijayo

Views: 179

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on September 28, 2011 at 19:16
Hahahaaa.. kweli kaka bonielly!
Comment by Bonielly on September 28, 2011 at 14:59
hapa sasa itakuwa uchungu wa mwana aujuae printer,,,,,
Comment by Dixon Kaishozi on September 26, 2011 at 9:10
Kuna ule msemo "Uchungu wa mwana aujua mzazi" .. Kwa staili hii hakuna cha "uchungu wa mwana" hahahaa
Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:49
Hii kali.... LOL...
Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:49
Hii itapunguza mapenzi kati ya mama na mtoto. Maana mapenzi ya mtoto uliyem-beba tumboni mwezi 9 na huyo wa wenye printer havizilingani
Comment by Dixon Kaishozi on September 24, 2011 at 18:07
Hahahaaa.. mambo ya teknologia hayo..  kwa wale ma "programmer " hapo ni "command" ya kufyatua tu.. fyatua.mke = kanatoka kabinti.. fyatua.mme = kanatoka kadume.. teheheheheee

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*