Tulonge

funga ya kwanza ngumu kweli..

Views: 118

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 15:38

Mmm Kaka,,mambo yako mkuu chai ya maziwa kaka,sio chai ya rangi.Hhahahah

Comment by Dixon Kaishozi on August 7, 2011 at 19:28
kaka umepona vidonda vya tumbo ? hahahaaa RAMADHANI njema!!
Comment by Dada on August 6, 2011 at 12:23

Ramadhani Kareem

 

Comment by Dunda on August 3, 2011 at 15:19
Swaumu njema Mkuu Chaoga
Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 12:23
Omary kobe la mchana ndio maana niimemkuta anachungilia picha ya binti isemayo 'Katoto katamu haka jamani' kule kwa Severin
Comment by Mama Malaika on August 3, 2011 at 12:21
Chaoga ndio umeanza dayati nini? maana ulisema unataka kupunguza kitambi kwa kutokula.
Comment by Alfan Mlali on August 2, 2011 at 23:03
Duh kumbe omari ni kobe la mchana????hahahahaaaha
Comment by Alfan Mlali on August 2, 2011 at 23:03
hahahahahaahahaha! Wewe si umesema unasumbuliwa na vidonda vyua tumbo???
Comment by Tulonge on August 2, 2011 at 21:11
Kama hii njemba, huwa haipendi kabisa kufunga http://tulonge.ning.com/profile/Omary?xg_source=profiles_memberList
Comment by Tulonge on August 2, 2011 at 21:09
Chaoga ni kweli umefunga wewe? Nina wac wac

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*