Add a Comment
omy lini sasa kaka au ndio 1 kwa 1 ? sadiq amekumisi umemuacha kwenye mataa haelewi kinacho endelea
kaka ulisha kusnya NSSF? usifanye kosa mwana umetumikia kwa muda mrefu.
Sawa Mr tulonge nafuta kauli kama ulivyotaka ila Chriter angejitokeza anisaidie kwani yeye ni mmojawapo wa watu waliotishiwa kumimbwa na wewe halafu no kutowa lol nisamehe Mchungaji Dismas
natenguwa usemi hata kwenye ansad isiwepo.
Ha haa haa haaa.... Tulonge kuna vituko
Teh teh teh teh wewe Omary naomba utengue maneno yako.Nisije nikakuombea ugeuke chura sasa hv.
Hahahahahahahaha Kunambi naona pepo anaanza kutoka unaona mikono inaogopa neno toka kwa Mchungaji Dismas hahahahah ila huyu Mchungaji akitoka kwako ajigeukie mwenyewe maana amekuwa akitangaza kuwatia watu mimba halafu no kutowa hahahahah so nae anahitaji maombi
Haahahahha jamani mi sitaki kucheka
Mr. Samweli hilo ndIlo jibu yalikwisha andikwa na sasa yana timia tu. kila anaejua kufokafoka anafungua kanisa lake nakuyageuza matatio ya watu kuwa mtaji. kwa manabii hawa hakuna ugojwa usiopona vichochoro vyote sasa na makanisa matokeo yake watoto nao wanakemea MAPEPO. BIG UP DOGO
hii inaonekana jinsi makanisa ya sasa yalivyoibuka mpaka watoto wanafanya vilevile wanavyofanya haya makanisa mapya manabii wamekuwa wengi sijui wa ukweli au ndo ya le yaliyoandikwa yanatimia watakuja manabii wauongo yangu ni hayo
kali ya mwaka!
haha haha W Dogo kichwa kweli haha haha
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge