Add a Comment
Hahahhahaa Alfan chizi sana wewe,natamani mkeo aingie hapa
Hahahahahah..Hata kama ni mimi nisingekubali hilo pepo liondoke..hahahahah
Dis mwenyewe anatumia cm ya toch ataweza wapi mambo ya Smart4n hahahahah.
kaka Omar mwambie Dis akufundishe
haa! haaa!ha! hiyo kali maana mi nahisi kopo na mfuniko hiviii!
Hahahahahah Kunambi unataka kuniambia hapo ni pipa na mfuniko hahahahhah kweli nyani haoni ku.....le lol nina sauti 1 ya mchungaji kwenye whatsup sijui nitaiwekaje? humu ili Mchungaji Dismas aisikie maana ukiisikiliza na unavyoombewa hapa mwenyewe utakubaliana na maneno ya Kunambi
yeyote anaweza kuhamisha audio kwenye whatsup to tilonge anifahamishe pls ili niwapatie uhondo.
Daffaaaaaaaaaaaa doh! na huku unafika? isee nikweli hata mie mwenyewe sijategemea kuwa huku 1 kwa 1 ila MUNGU kasema niombeni mitawapa ila usimuombe huku umekaa chini muombe huku unatafuta
so imetokea mawazo yakageuka nikaona sio mbaya kwakuwa tupo ndani ya dunia hihii INSHAALLAH MUNGU akipenda nitarudi kuzichukuwa zile zangu tu, uzuri zimewekwa na jamhuri ya muungano wa Tanzania nitazifuata Kaka asante kwa kunikumbusha unajuwa Nabii hakubaliki kwao kwani hakuna atakaemuamini kuwa huyu tuliemlea wenyewe leo awe Nabii? wamesahau kuwa kwa MUNGU hakuna kinachoshindikana MUNGU hana upendeleo kwake wanaadam wote ni sawa na hugawa riziki kadili aonavyo yeye ALHBDLH.
hapo kunambi jr naye anaomba kimoyomoyo ili hilo pepo lisimtoke
We Omary hapo ngoma draw maana huyo Mchungaji nae kwa kabali za mbao na kutia wanafunzi mimba zisizo tarajali ndo mwenyewe
Hahahahahhahahah
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge