Tulonge

niliojaaliwa kubwa zaidi mwaka jana.....

binti yangu mpendwa anaekwenda kwa jina la HONGERA

Views: 107

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on February 12, 2012 at 15:50

Daaaah kaka umemuharibu mashavu mweee

Comment by Tulonge on February 7, 2012 at 1:26

Aisee napata usongo sana nikiangalia hii picha.Sijui nimtandike nani mimba ya fasta fasta na mimi nipate mtoto teh teh teh teh.

Comment by ILYA on February 7, 2012 at 0:52

Duh,Mtoto huyu utafikiri FotoCopy,Baba Mtupu.!!Safi sana.

Comment by chaoga on January 4, 2012 at 14:49

ahsante lucie... nasubiria kumuona wa kwako ukijaaliwa...

Comment by Lucie on January 4, 2012 at 14:39

safi san, miaka 50 ya uhuru unajivunia ka binti lol..

Comment by Alfan Mlali on January 3, 2012 at 21:55

Safi sana mtt heavy duty kama baba yake!

Comment by chaoga on January 2, 2012 at 8:15

ha ha ha ha Tulonge binti wa kiislam huyu...mam ahsante

Comment by Tulonge on January 1, 2012 at 22:33

Ukute umeshaanza mnywesha pombe, maana wewe akili zako zinakutosha mwenyewe

Comment by Tulonge on January 1, 2012 at 21:52

Sawa kaka, hongera sana kwa hilo. Mimi nilidhani utasema umejaaliwa kumaliza kreti 1 la bia peke yako kwa siku 1 hahahahaaaa

Comment by Mama Malaika on January 1, 2012 at 20:20

Hongera Chaoga maana naona binti amekua, halafu afanana sana wewe

© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*