Nikiwa na Mdau Silas toka Dodoma. Hapa tukipata Ugali. Mimi nilikua napambana na ugali wa Dona wakati Silas alikua akomaa na ugali Muhongo.
Hadi mwisho mimi niliibuka mshindi kwa kufanikiwa kumaliza kila kitu kwa dk chache.Silas alitumia saa 2 kumaliza hako kaugali.
Tags:
Add a Comment
Dismas, nina mpango wa kuanzisha gazeti. Nitahitaji mtu wa IT....mshahara ataanza kupata miezi sita baadaye, na wewe naona utafaa sana kuwa IT wa gazeti langu.
Sawa Editorial manager...
Dismas, sio MUHONGO.....ni muhogo come on!
-Teh teh teh Remmy ukitupia picha zangu za ajabu nazitoa.Umesahau mimi ndo nimeshika mpini?teh teh teh
-Mama huyo Alfan bora asije hapa, ni kweli atapeperusha ndege
-Hahahhahaha Mama hakuna cha zoezi wala nn. Huo mkono umetuma sababu mkononi nimeshika bonge la donge la ugali wa dona. Jinsi ugali ulivyo mgumu lazima mkono utune wakati wa kufinyanga tonge.
-Christer natamani sana siku ukiniajiri niwe baunsa wako.Yani nakulinda kila kona uendayo, hadi wakati wa kulala mimi nakulinda tu
Hahahahahahahaaaaa kumbe ananyanyua vyuma mama weeeeeee, nilikua sijajua hili. Asante mke mkubwa kunifumbua macho sasa sina haja ya BAUNSA nitakua namkodi.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge