Tulonge

Mambo ya kutesana unapo-join form 1 shule za bweni

Views: 235

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by eddie on September 25, 2011 at 11:08

Hapo siajabu harufu inayotoka kwenye soksi hizo , makalio ya fungo afadhali hahahaha!

 

Comment by eddie on September 25, 2011 at 10:35

Jitu kama hili tulikuwa tunayafundisha adabu....nami nilikuwa na kundi langu ingawa umbo langu dogo nilikuwa agile sana. Nakumbuka kuna jamaa moja lilikuwa linaonea kama hili hapa

Basi kila mtu alikuwa akimuogopa. Basi nilisubiri siku ya mnuso jama tulimuwekea vidonge vya usingizi.

Tulimvua suruali na kumpaka mayai makalioni.

Tukamjaza domo lake chalk tulihakikisha anavuta pumzi asije akatufia.

Jamaa alitia akili na aliomba kuhama shule!!!

Bahati mbaya kuna jamaa moja lioga likapeleka umbea na tulipewa adhabu ya kufyeka eka mbili za shamba la pamba ambalo lilikuwa limeshavunwa!

 

Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:46
Mie nimesoma bweni 1980s, shuleni hakukuwa na wakatili kama hawa kwani ulipokuwa mgeni unapolelewa na kukabidhiwa kwa mwanafunzi aliye juu yako. Anakuwa kama dada na mara nyingi ndio mtetezi wako. Wanangu wakienda shule kama hii wataogopa hadi kukata roho na kuishia kufa. Huwa wakiwa likizo bongo na kuona mtoto wa kibongo anapigwa kibao na wazazi wake huwa wanachanganyikiwa na kuanza kulia na hata kuzila kula.
Comment by Mama Malaika on September 25, 2011 at 2:40
Hii yanitisha, nilikuwa na mpango wa kupeleka wanangu shule za bweni east Africa lakini kwa mtaji siwapeleki ng'oo. Watajifunza roho za kikatili. Ukatili huu unaendelea hadi ukubwani, na hao ndio doctors walioko hospitals wanafanyia ukatili wagonjwa. Na pia wanaendelea na ukatili/ubabe hadi maofisini, kwenye familia zao na hata kwenye jamii wanayoishi. Kijana kama hawa wakisha uongozi hawafai hata chembe, watataka wasujudiwe kama miungu na kuongoza nchi kimabavu watakavyo wao. Kina Eid Amin Dada wa Uganda walianzia kama hivi.
Comment by Tumaini Samwel on September 15, 2011 at 7:00
hey ma gentlemen na ladies, ama kweli unapokuwa form single na ndo umefika hata mazingila yaa chuo hauyajui lazima watakukaribisha namna hiyo enzi hizo,ila kwa sasa hamna kitu ya namna hiyo,nakumbuka form one yetu kuna mshikaji walimlambisha viboko kwenye double deck mazee aka anguka alitoa meno yote ya sebureni na mshikaji alivyotoka tu kwa hospital ilibidi achukue kilicho chake na kurudi mahome, belita ugeni utafanya nini?.
Comment by ANGELA JULIUS on September 14, 2011 at 18:01
NDO ITOKEE NIMEMKUTA ANAMFANYA HIVO MWANANGU AU MWINGINE YOYOTE YULE AISEE HATA KAMA NI MWANAUME NGUMI ZITALIKA HADI KIELEWEKE NA POLICE NAHAKIKISHA NAKUWA WA KWANZA KWENDA KUMSHTAKI KABLA HAJANIWAHI YEYE, PUMBAVU HUYU YAANI HADI UTUMBO UNANICHEZA
Comment by ANGELA JULIUS on September 14, 2011 at 17:59
NIMESHINDWA NIMPE NENO GANI HUYU ANAYEMWADABISHA MWENZAKE HIVI YOTE NAONA HAYAMFAI ILA MPAKA SASA NAIMANI MUNGU AMESHAMPA KIBOKO CHAKE KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE.
Comment by Severin on September 13, 2011 at 19:43
-Nakumbuka form 1 walikuwa wanapewa sh 10 eti wakanunue mche wa sabuni halafu wanalzimishwa warudi na chenji wakati hiyo 10 yenyewe haitoshu hata kipande cha sabubi hahahahaaaa.
Comment by Silas A. Ntiyamila on September 12, 2011 at 23:11

Siku hizi watu wameelimika hayapo kwa sana. Miaka ya nyuma kuna shule moja mwanafunzi alivunjwa mkono!!! Ila wangefanya kama Seminari, ukiteswa unaigizwa kwenye kumbukumbu mwaka unaofuata utkitesa unafukuzwa shule!!! INATUPASA TUWE NA UPENDO WA KWELI

Comment by chaoga on September 12, 2011 at 8:36
ha ah aha bahati mbaya mie sikuwahi soma boarding, lakini naamini ningekuwa mtetezi wa wanyonge...

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*