Tulonge

Fataki kampa lifti dada mmoja aliyekuwa akitoka kanisani. Kwa kuwa dada kabeba biblia Fataki akajua dada huyo ameokoka. Ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anashika mapaja ya dada. Dada akamwambia kasome Mathayo 7.7. Fataki akajua amelaaniwa na hata alipomfikisha dada anapokwenda hakuomba namba yake ya simu. Fataki kufika nyumbani akasoma andiko kwenye biblia akapiga kelele, Duh! Nimekosa kijinga, maana andiko linasema OMBENI NANYI MTAPEWA!!

Views: 211

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Agnes Nyakunga on June 24, 2011 at 15:08
ndio da Mary nae mtoa lifti alikuwa nazungusha zungusha maneno wakati sentensi ilinyooka ipo!
Comment by Wa Kimberly on June 24, 2011 at 14:49
ha haaaaaaaaaaaaa,hii kali kumbe angeomba tuu angepewa.
Comment by Agnes Nyakunga on June 6, 2011 at 8:59
nenda kasome mathayo 7.7
Comment by Tulonge on June 3, 2011 at 21:03
Hahahaahhaaa hii kali. Haya hebu msikilize Alfan hapo chini.
Comment by Alfan Mlali on June 3, 2011 at 18:22
Aggy... Nami naomba kwako natumaini utanipa!!!!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*