Add a Comment
kuna watoto wengine unaamua kumfanya hivyo ili utulie, maana hata usingizi hupati,
Hii kazi ya Mama wa Kambo.
Haahaaa.. nimeangalia hii picha tena nikajiuliza hivi....
huyo mzazi wa huyo mtoto KAVIAMINI vipi hivyo vibanio ? Vinanguvu kiasi gani kuhimili uzito wa huyo mtoto ? Au huyo mtoto ni mwepesi kiasi hicho ? hahahahaaa... Nipeni jibu tafadhali..
hii kali
inaelekea huyu kazidi fujo maana ikifikia hivi noma,
Huyo dogo anadhani yupo kwenye zile bembea za kupia uzito clinic,ha haaaa.
hata zile za clinic watoto wengine huwa wanaogopa na kulia lakini huyu dooh.
Hahahahaaa... Mbona mtoto katulia ? inaelekea ni mkorofi kama Dismas.. hapo anawaza arukeje !! hahahaaa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge