Tulonge

Wapendao mabinti weusi nadhani hii inawahusu sana

Views: 289

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on September 6, 2013 at 18:44

Hiyo ya ku-forge. Yaani anakuwa mweusi kuliko watu wenye weusi wenyewe toka Afrika!

Comment by salum kitila on September 1, 2013 at 16:49

haya bhana

Comment by Tulonge on August 21, 2013 at 20:29

Nimetafuta sana habari kamili kuhusu picha hii lkn nimekosa. Ndomaana nikaitupia hapa kwenye photos  bila maelezo. Kutokana na taarifa chache nilizopata, huyu ni mpakistani ila sina hakika kama kuna kitu alijipaka au ni ngozi yake. Ila huu weusi siyo wa kawaida aisee

Comment by Dunda on August 20, 2013 at 21:27

Weusi wake unaniacha na maswali lukuki

Comment by Agnes Nyakunga on August 20, 2013 at 13:35

black beauty imetulia! kazi kwenu vidume.

Comment by Mjata Daffa on August 19, 2013 at 11:05

Mr. Tulonge leo uvumbuzi wako umenigusa, huyu binti anapatikana wapi? kama ni hapa bongo tuambie?  

Comment by innocent on August 19, 2013 at 9:00

huu ni ule mdoli wa kuoneshea nguo banaaaaaa

@ tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on August 19, 2013 at 8:45

Mmmh!!

Comment by Kimaro John on August 18, 2013 at 12:57

Cheusi dawa lakini dawa hii muarobaini mkali zaidi!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*