Tulonge

Views: 235

Albums: lady

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on December 30, 2013 at 13:33
Ha haaa haaaa... Bonielly wimbo wako umevunja record.
Comment by Bonielly on January 11, 2011 at 12:40

kumbe tunashindana kuimba,  ok,,,

 

kiuno chako chembamba chakuvalia mkanda bingilibingili mpaka chini,,, 

bilinge bayoyo bilinge bayoyo, dada ledymwana zunguusha kiuno tukuone maringoyako mpaka chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiii,

Comment by Ramadhan Ahmard on January 11, 2011 at 12:06

Mi nangoja ageuke...eyaaa...!!!

mi nangoja ageuke...oyaaa..!!!

Au ndo' ntasubiri mpk milele?

hebu geuka tafadhali basiiiiiiiiiiiiii!!!!

Comment by George on January 9, 2011 at 7:46
Wala usigeuke angalia huko huko!!! ngoja niende nikatunge wimbo wakumzidi Dismas nikisha kuimbia na mimi ndio ugeuke.
Comment by Erick Chikolongo on November 8, 2010 at 21:46
Hahahahahahaaaaaaaa
Dismas nimekupata kijana wangu, teh utakula kwa macho au km unaweza vunja ukimya uje Arusha.
teh natania
Comment by Oswald on November 7, 2010 at 19:32
Dismas! Dismas! umehamua kumuimbia kabisa! ila hupati kitu mwanangu!!! utaishia kushika pembe tu! labda uimbe kikwenu
Comment by Tulonge on October 8, 2010 at 0:41
Waniua ua kipenzi waniua ua *2
Kiuno chako chembamba waniua ua.
Mwendo wako wa maringo waniua ua.
Comment by Erick Chikolongo on October 7, 2010 at 7:19
Na mm naomba nikae hapo hapo kwenye hicho kiti
Comment by Bonielly on October 4, 2010 at 11:05
@ladymwanaaaaaa, mambo yako noma kinomanoma, tehe tehe tehe,
Comment by Mama Malaika on September 8, 2010 at 13:26
Yani ndio umekataa kabisa kugeuka

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*