Add a Comment
Hapana, White Sands iko Mbezi Beach area. Silver Sands Resorts iko kule mbele kabisa eneo la Bahari Beach karibu na Ununio. Unapita Kunduchi na kuimaliza yote ndio waingia eneo la Bahari Beach. Iko next na ile iliyokuwa inavuma sana zamani ikiitwa Rungwe Oceanic (Kwa marehemu mzee Mwakitwange), na pia jirani na hotel ya Bahari Beach, kama ulishafika.
Niliambiwa walichukua foreign investors, baada ya miaka 5 wakakimbia sababu ya kodi, wakachukua wengine, na wengine tena, hivyo hivyo wanakwepa kulipa kodi na wote nasikia ni makaburu. Foreign investors wamegeuza Tanzania kama soko la Mwenda wazimu.
Boti tulipandia White Sands Hotel..nadhani ndio hiyo mwanzo ikiitwa Silver Sands Hotel @ Mama Malaika
Na miss sana TZ nikifikiria
Boat mlipandia toka wapi? Mie nilizoea route tokea Silver Sands, na sijui kama bado wanapeleka watu Mbudia maana nasikia Silver Sands Resort imeuzwa karibu mara 2 tokea mwaka 2001.
Hiyo ilikuwa ni uniform ya beach,watu wengi walivaa hizo. Mbudia ni kisiwa kidogo kiko bahari ya hindi ni pazuri kweli kwa wale wanaopenda kwenda kufurahia maisha mbali na kelele za mjini!
hiyo nguo uliyovaa juu mbona na wa nyuma yako kavaa hiyohiyo? na hii mbudia ipo wapi?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge