Add a Comment
hapo umewagusa wakongwe wazee wa kili,
Ha haa haa haa.... Chaoga weeee. Naona mwenyeji wao itakuwa imekula kwake kwani kwa matope hayo ni ndoo 5 za maji kwa kila mmoja. Ha haa
HA HA HA HA hawa jamaa hivi hawajaui matatizo ya maji bongo? au kulikuwa na mto karibu?
Sasa kama hiyo ni Kilimanjaro ndo imewafanya hivyo.. wakipata "spirit of Nation a.k.a nyagi " lazima wacheze mdundiko.. hahahahaaa
DIXON... hawa ni waingereza tulikutana nao Bagamoyo. Hapo ni Kilimanjaro, sijui wakipata nyagi itakuwaje? Ha haa haa...
hahahaa.. Kilimanjaro si mchezo!! Hawa rafiki walikuwa pandegani jamani ?
Walilelewa wakawa wanarushiana matope. Si unajua vituko vyao? Ha haa haaa.......
Mmh! jamaa walijipaka nya?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge